top of page

      July 16 LITURGY
         host: Tanzania
presider: Fr Mahoussi
         Commitment
          and Jubilee

OPENING SONG:

ENTER REJOICE

 1. Enter rejoice and sing *2

Today will be a joyful day

Enter rejoice and sing

 
2. Sing Alleluia *2

Today will be a joyful day

Sing Alleluia

 

3.Open your heart to the lord *2

Today will be a joyful day

Open your hearts to the lord *2

 

 4. Lift up your heart to the lord *2

Today will be a joyful day

Lift up your heart to the lord *2

 

 5. Sing Alleluia *2

Today will be a joyful day

Sing Alleluia *2

 

Mimi ni nani, mimi ni nani Bwana Mungu na nyumba yangu ni nini hata umeniita hata hapa nikutumikie ()

 1. Ingawa mimi ni mdogo hukujali udogo umeniita Bwana nikutumikie

 2. Ingawa mimi ni mnyonge hukujali unyonge wangu umeniita Bwana nikutumikie

 3. Ingawa mimi ni motto hukujali utoto umeniita Bwana nikutumikie

 4. Ingawa mimi ni mzee hukujali uzee umeniita Bwana nikutumikie

 

The KYRIE

 • Bwana utuhurumie, utuhurumie, (utuhurumie E-Bwana, E-Bwana utuhurumie *2)

 • Ewe Kristu utuhurumie, utuhurumie, Ewe Kristu, Ewe kristu tuhurumie tuhurumie*2

 • Bwana utuhurumie, utuhurumie, (utuhurumie E-Bwana, E-Bwana utuhurumie *2)

 

The GLORIA

 • Utukufu kwa mungu juu, na amani duniani kwa watu aliwaridhia

 • Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu, tunakutukuza,

 • Tunakushuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu,

 • E- Bwana Mungu Mfalme wa mbinguni, Mungu Baba mwenyezi,

 • E-Bwana Yesu Krsitu, Mwana wa pekee, E-Bwana Mungu, Mwakondoo wa Mungu, Mwana wa Baba mwenye kuondoa dhambi za Ulimwengu,

 • Ewe mwenye kuondoa dhambi za Ulimwengu pokea ombi letu,

 • Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba utuhurumie

 • Kwa kuwa ndiwe uliye, peke yako pekee yako mkuu

 

FIRST READING:
Edeltruda Simforian and Columba Thadey

 

RESPONSORIAL PSALM
 

SECOND READING
Esther Bura and  Christina Mathias

Alleluya, Alleluya, Alleluya *2

Alleluya, Alleluya, Alleluya, Alleluya, Alleluya, Alleluya, Alleluya

 

GOSPEL READING
 

HOMILY: RITA YEASTED, SFCC
 

COMMITMENT SERVICE*

THE CREED

I believe in one God, the Farther Almighty, maker of heaven and earth, of all things visible and invisible
 

believe in one Lord Jesus Christ, the only Begotten Son of God, born of the Farther before all ages, God from God, light from light, true God from true God, begotten, not made, consubstantial with the Farther; through Him all things were made.

For us men and our salvation, He came down from heaven, and by the Holy Spirit was incarnate of the Virgin Mary, and became man.

 

For our sake he was crucified under Pontius Pilate, He suffered death and was buried, and rose again on the third day in accordance with Scriptures.

 

He ascended into heaven and is seated at the right hand of the Farther. He will come again in glory to judge the living and the dead and kingdom will have no end.

 

I believe in the Holy Spirit, the Lord, the giver of life, who proceeds from the Farther and the Son, who with the Farther and the Son is adored and glorified, who has spoken through the prophets.

 

I believe in one, holy Catholic and apostolic Church. I confess one baptism for the forgiveness of sins and I look forward to the resurrection of the dead and the life of the world to come. Amen.

PRESENTATION OF GIFTS

Nikupe nini Mungu wangu, nikupe we Mwokozi, nikupe ni Bwana wangu cha kukupendeza*2

 1. Kila ninachokitoa mbona bado ni kidogo, fadhili unazotenda kwangu mimi naogopa, ninakuomba mwokozi nifanyie msamaha na unipokee, mema unayoyatenda nitafanya nini mimi nikurudishie*1

 2. Twakutolea mkate tena mmea wa ngano, twakutolea divai ni tunda la mzabibu, ninakuomba mwokozi nifanyie msamaha na unipokee, mema unayoyatenda nitafanya nini mimi nikurudishie *1

 3. Mchana hata usiku wewe wanisimamia, na nikiwa safarini waniepusha ajali, ninakuomba mwokozi nifanyie msamaha na unipokee, mema unayoyatenda nitafanya nini mimi nikurudishie*1

 

HOLY, HOLY

 • Mtakatifu, mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi

 • Mbingu na nchi zimeejaa utukufu wako

 • Hosana, hosanna, hosanna, hosanna juu mbinguni

 • Mbarikiwa mwenye kujakwa jina la Bwana

 • Hosana, hosanna, hosanna, hosanna juu mbinguni

 

MEMORIAL ACCLAMATION

We proclaim your death, O Lord, and profess your resurrection until you come again.

 

OUR FATHER

Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwa

Ufalme wako ufike utakalo lifanyike duniani kama mbinguni

Utupe leo mkate wetu wa kila siku utusamehe makosa yetu

Kama tunavyowasemehe na sisi walio tukusea

Usitutie katika kishawishi lakini, lakini utuopoe maovuni

LAMB OF GOD

Oh Lamb of God, you take away the sins of the world (x2),
have mercy (x3) on us.

Oh Lamb of God, you take away the sins of the world (x2)

Oh grant us (x3), your Peace.
 

COMMUNION SONG

 1. I, the Lord of sea and sky, I have heard my people cry.

All who dwell in dark and sin my hand will save.

I, who made the stars of night, I will make their darkness bright.

Who will bear my light to them? Whom shall I send?

 

Here I am, Lord. Is it I, Lord? I have heard you calling in the night.

I will go, Lord, if you lead me. I will hold your people in my heart.

 

  2. I, the Lord of snow and rain. I have borne my people’s pain.

I have wept for love of them. They turn away.

I will break their hearts of stone, give them hearts for love alone

I will speak my words to them. Whom shall I send?

 

   3. I, the Lord of wind and flame, I will tend the poor and lame.

I will set a feast for them. My hand will save.

Finest bread I will provide till their hearts be satisfied.

I will give my life to them. Whom shall I send?

 

CLOSING SONG

 Give me oil in my lamp, keep me burning.

Give me oil in my lamp, I pray.

Give me oil in my lamp, keep me burning.

Keep me burning till the break of day

 

Sing hosanna, sing hosanna, sing hosanna to the King of kings!

Sing hosanna, sing hosanna, sing hosanna to the King (

 

 1. Give me love in my heart, keep me sharing.

Give me love in my heart, I pray.

Give me love in my heart, keep me sharing.

Keep me sharing till the break of day. (

 

 1. Give me joy in my heart, keep me singing.

Give me joy in my heart, I pray.

Give me joy in my heart, keep me singing.

Keep me singing till the break of day. ()

 

 1. Give me faith in my heart, keep me praying.

Give me faith in my heart, I pray.

Give me faith in my heart, keep me praying.

Keep me praying till the break of day.

bottom of page